MAKUNDI YA NDENGE YAVAMIA MASHAMBA YA MPUNGA RUVU

Makundi ya ndege waharibifu wa mazao yamevamia kwenye mashamba ya mpunga ya Chama Cha Wakulima wa kilimo Cha Mpunga cha Umwagiliaji Ruvu CHAURU na kutishia kupunguza mavuno ya mwaka huu ya zao hilo. Akizungumza na waandishi wa habari Meneja wa CHAURU Victoria Ulotu amesema tangu wiki mbili zilizopita walivamiwa na makundi makubwa ya ndege hao